Balozi wa Msumbiji amuaga Rais wa Zanzibar Dk. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Balozi wa
Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika
Ikulu
Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi,([Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akizungumza na Balozi wa
Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia
Veloso alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake
wa kazi,([Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na
Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso baada ya
mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,([Picha
na Ikulu.]
No comments