Header Ads

ad

Breaking News

Waliopeta CCM ubunge 2015 hawa hapa na majimbo yao

John Banda, Dodoma

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemaliza mchakato wa uteuzi wa wabunge na wawakilishi wa majimbo na viti maalum huku baadhi ya majimbo yatarudia uchaguzi wake.

Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Katibu wa NEC itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema kuwa kuna baadhi ya majimbo ambayo yalionekana kuwa na dosari wakati wa kura za maoni hivyo uchaguzi urtarudiwa na mengine kura kuhakikiwa.

Alisema kuwa majimbo ambayo yatarudia uchaguzi ni pamoja na jimbo la Ukonga,Kilolo,Rufiji, Busega na Mbinga Vijijini ambapo watarudia uchaguzi katika kata mbili.

Alisema kuwa katika majimbo mengine  ambayo yatahakikiwa kura ni pamoja na Makete, kiteto, Njombe kusini, Chilonwa, Namtumbo   huku jimbo la Singida mashariki ambalo awali ilionekana uchaguzi wake utarudiwa lakini alieleza kuwa viongozi wa jimbo hilo wanaendelea na mazungumzo na ngazi ya , Taifa  a,bapo bado haijafahamika kuwa watarudia uchaguzi au watahakiki kura.
Hata hivyo Nape alieleza kuwa sababu za kurudia au kuhakiki kura katika majimbo hayo zilikuwa zinatofautiana kwani kwa baadhi ya majimbo mgombea alikuwa na matokeo yake,ambayo yalikuwa yanatofautiana na matokeo ambayo chama ilikuwa imepewa.

“Hapa siwezi kusema kuwa dosari zilizojitokeza katika majimbo hayo ni zipi ila tu nisema kuwa kulikuwa huenda kulikuwa na uchakachuaji ambao ulikuwa unafanyika njiani kwani utakuta mgombea alikuwa na matokeo yake lakini akifika kwenye chama anakuta matokeo yapo tofauti nayale ya awali.”alisema

Alisema kuwa kila jimbo litafanya uchaguzi au uhakiki wa kura zake kutokana na mazingira ya eneo husika lakini uteuzi wa mwisho wa wagombea hao itakuwa ni Agost,17 mwaka huu ambapo  kamati kuu  ndiyo itayohusika na uteuzi huo.
Hata hivyo alieleza kuwa katika harakati hizo za kurudia uchaguzi au kuhakiki kura watajitahidi kuongeza nguvu katika eneo husika kutoka wilaya za jirani, ngazi ya mkoa na wakiona kuwa haitoshio watalazimika kuongeza nguvu kutoka ngazi ya Taifa  lengo likiwa ni kuona haki inatendeka.

“Tumelazimika kufanya hivyo kama chama kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi  kuwa baadhi ya wasimamizi ambao walionekana kuwa hawakutenda haki kwa wagombea, lakini tunaamini kwa nguvu hiyo tuliyoiongeza  tunaamini kuwa dosari zilizojitokeza awali hazitajitokeza tena.”alisema pia

Akizungumzia uteuzi mzima wa wabunge hao akianza na Mkoa wa Arusha Mjini, jimbo la Arusha Mjini, aliyeteuliwa ni ,Philemon Mollel,Karatu  Dkt, Wilbard  Slaa Lorr, Arumeru Magharibi, Loy Thomas ole Sabaya,Arumeru Mashariki, John Danielson Sakaya (JD),Longido       Longido Dkt. Stephen Lemomo Kiruswa,Monduli     Monduli Ndugu Namelock Edward Sokoine,  Ngorongoro William Tate ole Nasha.

Mkoa wa Dar es Salaam   alisema kuwa  walioteuliwa kuwa ni pamoja na mbunge wa  jimbo la Ilala Zungu Mussa Azzan,Segerea Bonna Mosse Kaluwa,Temeke Abasi Zuberi Mtemvu ,Kigamboni       Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile,Mbagala Issa Ally A. Mangungu ,Kinondon,Kawae  Kippi Ivor Warioba ,Ubungo     Dkt. Didas John Masaburi,Kibamba        Dkt. Fenela E. Mkangala,Kinondoni        Iddi Azzan.

3Kwa upande wa Mkoa wa  Dodoma jimbo la         Chemba Juma Selemani Nkamia ambaye ni   Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo ametuliwa,Bahi Omar Ahmed Badwel,Mpwapwa    Kibakwe  George Boniface Simbachawene Waziri wa Niashati na Madini,Mpwapwa George Malima Lubeleje,Mtera Livingstone Joseph Lusinde,Dodoma Mjini Antony Peter Mavunde,Kongwa                                                                                                                                                                     Kongwa   Job  Ndugai mbaye alikuwa Naibu Spika,Kondoa    Sanda Edwin,Kondoa  Vijijini   Dkt.  Ashatu Kijaji.

Mkoa wa  Geita  Jimbo la Geita Mjini Costantine John Kanyansu,Geita Vijijini Joseph Lwinza Kasheku,Busanda       Lolensia Masele Bukwimba,Mbogwe        Augustino Manyanda Massele,Bukombe       Doitto Mashaka Biteko,Chato    Dkt. Medard Matogolo Kalemani,Nyangwale  Hussein Nassor Amar

 Mkoa wa Iringa Iringa Mjini  Mwakalebela Fredrick Wilfred,Iringa Vijijini   Isimani William Vangimembe Lukuvi,Kalenga   Godfrey William Mgimwa,        Mufindi Kaskazini  Mahmoud  Hassan Mgimwa,Mufindi Kusini Mendrad  Lutengano Kigola,Mafinga Mjini Cosato David Chumi.
Mkoa wa Kagera  Bukoba Mjini    Balozi Khamis Sued Kagasheki,                                                                                                                                                                                                Bukoba Vijijini Jasson Samson Rweikiza,Biharamulo Osca Rwegasira Mkassa, Karagwe,Innocent Luugha Bashungwa Kyerwa  Innocent Sebba, Bilakwate       Muleba Kaskazini Charles John Mwijage Muleba Kusini Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka,Misenyi       Nkenge  Diodorus Buberwa Kamala, Ngara  Alex Raphael Gashaza.

Katika Mkoa wa Katavi Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Simon Kapufi, Mpanda Vijijini     Moshi Selemani Kakoso, Mlele Katavi     Issack Aloyce Kamwele, Nsimbo Richard Philip Mbogo , Kavuu      Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe.

Kwa ipande wa mkoa wa Kigoma    Jimbo la Kakonko Buyungu        Eng. Christopher K. Chiza, Kibondo      Muhambwe Eng. Atashasta Nditye, Kasulu Mjini    Daniel Nsanzugwanko, Kasulu Vijijini  Augustino Vuma Holle,Buhigwe Manyovu, Albert Obama Ntabaliba,     Kigoma Mjini Amani Walid Kabourou,Kigoma Kaskazini Peter Joseph Serukamba, Uvinza       Kigoma Kusini Hasna Sudi Mwilima.

Kwa Mkoa wa Kilimanjaro jimbo la  Hai     Danstan Lucas Mallya,Siha Aggrey Deaidile Mwanri, Moshi Mjini   Moshi Mjini Mosha Davis Elisa, Mwanga Profesa Jumanne A. Maghembe,      Same Mashiriki Anne Kilango Malecela, Same Magharibi David Mathayo David, Moshi Vijijini     Dkt. Cyril August Chami,Vunjo   Innocent Melleck Shirima, Rombo  Sanje Samora Colman.

Mkoa wa Lindi jimbo la Ruangwa Majaliwa Kassim Majaliwa, Liwale Liwale  Faith Mohamed Mitambo,Nachingwea        Hassan Elias Masala,Lindi Vijijini Mtama Nape Moses Nnauye, Mchinga     Said Mohamed Mtanda , Lindi Mjini Hassan Seleman Kaunje, Kilwa Kusini Hasnain Gulamabas Dewji,Kilwa Kaskazini Murtaza Ally Mangungu.

Mkoa wa Mara jimbo la Bunda Mjini        Steven Masatu Wasira
,Mwibara Kangi Alphaxard Lugola, Bunda Vijijini Boniface Mwita Getere,Tarime    Christopher Ryoba Kangoye,Tarime  Mjini Michael Mwita Kembaki ,Serengeti Dkt. Steven Kebwe Kebwe, Butiama Butiama Nimrod Elirehemah Mkono, Butiama Vijijini Prof. Sospeter Mwinjarubi Muhongo, Rorya    Lameck Okambo Airo,Musoma Mjini Vedastus Mathayo Manyinyi.

Mkoa wa Manyara Jimbo la Babati Mjini   Kisyeri Chambiri, Babati Vijijini Jittu Vrajilal Son, Hanang’ Dkt. Mary Michael Nagu, Mbulu     Mjini Zacharia  Paulo Issaay, Mbulu Vijijini Fratei Gregory Massay, Simanjiro   Simanjiro Christopher Olonyhokie Ole Sendeka.

Mkoa wa Mbeya Jimbo la  Mbeya Mjini Sambwee Shitambala Mwalyego,        Mbeya Vijijini Oran M. Njeza, Mbarali Mbarali , Haroon Mullah Pirmohamed, Rungwe Sauli Henry Amon,Busokelo       Ndugu Atupele Fredy Mwakibete,  Ileje Janeth Zebedayo Mbene, Mbozi Weston Godfrey Zambi,Vwawa Ngailonga Josephat Kasunga,    Momba   Luca Jelas Siyame,Tunduma       Frank Mastara Sichalwe,Chunya   Lupa Victor Mwambalaswa, Songwe  Philip A. Mulugo,      Kyela Dkt. Harrison George Mwakyembe.

Mkoa wa Morogoro   jimbo la Morogoro Mjini Ndugu Abood Mohamed Abdul Aziz Morogoro Vijijini Morogoro Kusini        Prosper Joseph Mbena, Morogoro Kusini Mashariki Omar Tibweta Mgumba, Gairo      Ahmed Shabiby Mvomero Suleiman Ahmed Saddiq ,Mikumi   Jones Estomih Nkya,Kilombero    Abubakar Damian Asenga, Mlimba  Godwin Emmanuel Kunambi Ulanga  Ulanga Mashariki        Celina Ompeshi Kombani, Ulanga Magharibi Dkt. Hadji Mponda Kilosa       Kilosa  Ndugu Mbaraka Salum Bawazir.

Mkoa wa Mtwara  jimbo la        Mtwara Mjini    Ndugu Hasnen Mohamed Murji, Nanyamba    Ndugu Abdallah Dadi Chikota,    Mtwara Vijijini Hawa Abdulhaman Ghasia
,Tandahimba     Shaibu Salum Likumbo,Newala     Newala Mjini George Huruma Mkuchika,Newala Vijijini Rashid Ajali Akbar, Nanyumbu William Dua Mkurua,Masasi      Ndanda Mariam Reuben Kasembe, Masasi Chuachua Mohamed Rashid,Lulindi Jerome Dismas Bwanausi.

Kwa upande wa Mwanza    Jimbo la Ilemela        Angelina Sylvester Lubala Mabula,       Nyamagana       Stanslaus S. Mabula,Kwimba      Mansoor Shanif Hiran,Sumve Richard Maganga Ndassa,Misungwi      Charles Mhangwa Kitwanga, Magu  Boniventura Desdery Kiswaga, Sengerema William Mganga Ngeleja,Buchosa   Dkt. Charles John Tzeba, Ukerewe Christopher Nyandiga.

Mkoa waNjombe   jimbo la Njombe Kaskazini Joram Hongoli , Makambako     Deo Kasenytenbda Sanga Wanging’ombe Gerson Hosea Lwenge,Ludewa Deo Filikunjombe
Mkoa wa Pwani   jimbo la Bagamoyo       Dkt. Shukuru Kawambwa,Chalinze  Ridhiwani J. Kikwete,Kibaha Mjini  Sylvester Francis Koka,Kibaha Vijijini   Hamoud Abuu Jumaa ,Kisarawe Selemani Said Jaffo , Mafia Mbaraka K. Dau, Mkuranga Abdallah H. Ulega,Kibiti       Ally Seif Ungando.

Mkoa wa Rukwa   jimbo la Sumbawanga Mjini Aeshi Khalfan Hilaly, Nkansi Kaskazini Ally Mohamed Kessy, Nkansi Kusini   Deuderit John Mipata,Sumbawanga Vijijini Kwela Ignas Aloyce Malocha, Kalambo Josephat Sinkamba Kandege.

Kwa upande wa Mkoa Ruvuma       jimbo la        Songea Mjini Leonidas Tutubert Gama,    Nyasa Eng. Stella Martin Manyanya, Tunduru Kaskazini    Ramo Matala Makani,Tunduru Kusini Daimu Iddi Mpakate,jimbola Peramiho Jenister Joakim Mhagama,Madaba    Joseph Kisito Mhagama ,Mbinga Mjini Sixtus Raphael Mapunda

Mkoa wa Simiyu  jimbo la Bariadi Magharibi      Andrew John Chenge, Itilima     Bariadi Mashariki (Itilima)     Njalu Daudi Silanga,    Meatu Salum Khamis Salumu,Kisesa        Luhanga Joelson Mpina,Maswa     Mashariki Stanslaus Haroun Nyongo Maswa Magharibi Mashimba Mashauri Ndaki.

Mkoa wa Singida jimbo la        Singida Mjini   Ramadhani Sima
,Singida Kaskazini        Lazaro Nyalandu,Mkalama Iramba Mashariki Joseph Allan Kiula, Iramba Magharibi Mwigulu Lamech Nchemba, Manyoni Magharibi Yahya Omari Masare,Manyoni Mashariki  Daniel Edward Mtuka,    Singida Magharibi Elibariki Emmanuel Kingu .

Mkoa wa Shinyanga       jimbo la Shinyanga Mjini Steven Masele, Shinyanga Vijijini      Solwa Ahmed Ally Salum, Kishapu Suleiman Masoud Nchambi,  Kahama Msalala Ezekiel Magolyo Maige,Ushetu     Elias John Kwandikwa  Kahama Mjini Kishimba Jumanne Kibera.

Mkoa wa Tabora  jimbo la Tabora Mjini   Emmanuel Mwakasaka, Uyui        Igalula Ntimizi  Rashidi Mussa ,Kaskazini Uyui Maige Athumani Almas , Sikonge   Sikonge George Joseph Kakunda,  Urambo Margareth Samwel Sita , Kaliua   Profesa Juma Athuman Kapuya, UlyankuluJohn Peter Kadutu,Nzega Mjini     Hussein Mohamed Bashe, Bukene  Suleiman Juma Zedi, Nzega Vijijini       Dkt. Hamis Andrea Kigwangala, Igunga Dkt Dalaly Peter Kafumu
Manonga  Seif Hamis Said.

Mkoa wa Tanga  jimbo la Tanga Mjini     Omari Rashid Nundu,     Lushoto Shabani Omari Shekilindi, Bumbuli Januari Yusuf Makamba, Mlalo  Rashid Abdakkag Shangazi, Pangani Jumaa Hamidu Aweso,Kilindi    Kilindi Omari Mohamed Kigua,    Mkinga  Danstan Luka Kitandula, Handeni Mjini   Dkt. Abdallah Omar Kigoda, Handeni Vijijini Mboni Mohamed Mhita,        Muheza  Balozi  Adadi Mohamed Rajabu,   Korogwe Mjini Mary Pius Chatanda, Korogwe Vijijini Stephen Hillary Ngonyani
ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 UBUNGE – ZANZIBAR

Mkoa wa Kaskazini Pemba jimbo la Wete   Gando Salim Bakar Issa, Kojani  Masoud Ali Moh’d,Mgogoni        Issa Juma Hamad ,Mtambwe Khamis Seif Ali, Wete  Dkt. Abdalla Saleh Abdalla, Micheweni   Micheweni        Khamis Juma Omar,Tumbe   Rashid Kassim Abdalla ,Konde Ramadhan Omar Ahmed, Wingwi      Khamis Shaame Hamad.
Kwa upande wa mkoa wa Kaskazini “A”     Chaani  Khamis Yahya Machano, Kijini    Makame Mashaka Foum,Mkwajuni Khamis Ali Vuai, Nungwi    Mustafa Makame Hamadi, Tumbatu  Juma Othman Hija,Kaskazini “B”Bumbwini Mbarouk Juma Khatib,Donge        Sadifa Juma Khamis, Kiwengwa    Khamis Mtumwa Ali,Mahonda Bahati Ali Abeid.

Kusini Pemba    Chake Chake     Chake Chake     Mbaraka Said Rashid,Chonga      Abdalla Omar Muya,Ole Omar Mjaka Ali,Wawi       Daud Khamis Juma,Ziwani Mohamed Othman Omar

Mkoani  Chambani Moh’d Abdulrahman Mwinyi, Kiwani Rashid Abdulla Rashid, Mkoani Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, Mtambile    Khamis Salum Ali.

Kusini Unguja Kati      Chwaka  Bhagwanji Meisuria (Mshamba),Tunguu Khalifa Salum Suleiman,Uzini         Salum Mwinyi Rehani,Kusini     Makunduchi      Haji Ameir Haji (Timbe),Paje     Jaffar Sanya Jussa
Magharibi Dimani        jimbo la Dimani         Hafidh Ali Tahir
Chukwani,Fuoni  Abass Ali Hassan,Kiembesamaki,Ibrahim Hassanali Mohamed,Kijitoupele     Shamsi Vuai Nahodha, Mwanakwerekwe      Ahmada Yahya Abdulwakil (Shaa),Mfenesini        Bububu  Mwantakaje Haji Juma
Mfenesini       Col. Mst. Masoud Ali Khamis,Welezo Saada Mkuya Salum,Mwera      Ndugu Makame Kassim Makame
Mjini Amani jimbo la Amani Mussa Hassan Mussa,Chumbuni Ussi Salum Pondeza,Magomeni      Ndugu Jamal Kassim Ali,Mpendae  Ndugu Salim Hassan Turkey,Shaurimoyo Matar Ali Salum,Mjini      Jang’ombe Ali Hassan Omar (King),Kikwajuni      Ndugu Hamad Yussuf Masauni,Kwahani      Dr. Hussein Ali Mwinyi,Malindi  Dkt. Abdulla Juma Abdalla.

ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 BARAZA LA WAWAKILISHI - ZANZIBAR

Kaskazini Pemba Wete    Mgogoni Ndugu Shehe Hamad Matar,Gando   Ndugu Maryam Thani Juma,Kojani  Ndugu Makame  Said Juma,Mtambwe Ndugu Khadija Omar Kibano,Wete  Ndugu Harusi Said Suleiman,Micheweni Micheweni  Ndugu Shamata Shaame Khamis,Tumbe Ndugu Ali Khamis Bakar,Konde Ndugu Omar Seif Abeid,Wingwi     Ndugu Said Omar Said

Kaskazini Unguja        Kaskazini “A”   Chaani  Ndugu Nadil Abdul-Latif Jussa,Kijini    Ndugu Juma Makungu Juma Mkwajuni        Ndugu Ussi Yahaya Haji,Nungwi   Ndugu Ame Haji Ali ,Tumbatu     Ndugu Haji Omar Kheri,Kaskazini “B”     Bumbwini        Ndugu Mtumwa Peya Yussuf,Donge  Dkt. Khalid Salum Mohamed,Kiwengwa Ndugu Asha Abdalla Mussaa,Mahonda    Balozi Seif Alli Iddi
Kusini Pemba    Chake Chake     Chake Chake     Ndugu Suleiman Sarhan Said Chonga       Ndugu Shaibu Said Ali Ole       Ndugu Mussa Ali Mussa, Wawi     Ndugu Hamad Abdalla Rashid, Ziwani      Ndugu Suleiman Makame Ali.

Mkoani  Chambani        Ndugu Bahati Khamis Kombo Kiwani        Ndugu Mussa Foum Mussa Mkoani   Ndugu Mmanga Mjwengo Mjawiri,Mtambile   Ndugu Moh’d Mgaza Jecha.

Kusini Unguja   Kati    Chwaka  Ndugu Issa Haji Ussi, Tunguu    Ndugu Simai Mohamed Said, Uzini Ndugu Mohamedraza H. Dharamsi, Kusini   Makunduchi      Ndugu Haroun Ali Suleiman,Paje  Ndugu Jaku Hashim Ayoub.

Magharibi       Dimani  Chukwani        Ndugu Mwanaasha Khamis Juma,Dimani      Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini, Fuoni   Ndugu Yussuf Hassan Iddi,Kiembe Samaki Ndugu Mahmoud Thabit Kombo, Kijitoupele  Ndugu Ali Suleiman Ali (Shihata),Mwanakwerekwe  Ndugu Abdalla Ali Kombo,Pangawe Ndugu Khamis Juma Mwalim,Mfenesini,Bububu       Ndugu Masoud Abraham Masoud,Mfenesini    Ndugu Machano Othman Said,Mtoni        Ndugu Hussein Ibrahim Makungu,Mtopepo   Dkt. Makame Alli Ussi,Welezo    Ndugu Hassan Khamis Hafidh,Mwera        Ndugu Mihayo Juma N’hunga.


MKOA    WILAYA  JIMBO   ALIYETEULIWA
Mjini   Amani   Amani   Rashid Ali Juma,Chumbuni Ndugu Miraji Khamis Mussa,Magomeni     Ndugu Rashid Makame Shamsi,Mpendae      Ndugu Mohamed Said Mohamed (Dimwa),Shaurimoyo   Ndugu Hamza Hassan Juma,Mjini   Jang’ombe       Ndugu Abdalla Maulid Diwani,Kikwajuni   Ndugu Nassor Salum Ali (Jazeera),Kwahani        Ndugu Ali Salum Haji,Malindi    Ndugu Mohamed Ahmada Salum

WABUNGE WA MIKOA WALIOTEULIWA KUPITIA JUMUIYA – UWT
Katibu wa Itikadi na Uenezi alisema kuwa uteuzi wa viti maalumu sehemu nyingi uliamuruwa jinsi ulivyokuwa ambapo kwa mkoa wa Dar es salaam ulibatilishwa ambapo awali alikuwa anaongoza Angel Kizingi ambaye ni mbunge wa Afrika Mashariki hivyo kikao kikiamuru aendelee na nafasi yake na nafasi ya ubunge akipatiwa aliyekuwa ameshika nafasi ya tatu ambaye ni Mariam Nassoro Kisangi.

Katika mkoa wa Arusha,Ndugu Catherine Valentine Magige,Ndugu Vailet Charles Mfuko.Dar es Salaam Ndugu Mariam Nassoro Kisangi,Ndugu Janeth Mourice Massaburi,Dodoma      Ndugu Felister Aloyce Bura,Ndugu Fatuma Hassan Toufiq,Geita     Ndugu Vicky Paschal Kamata,Ndugu Josephina Tabitha Chagula,Iringa       Ndugu Rose Cyprian Tweve,Ndugu Ritha Enespher Kabati,Katavi Ndugu Taska Restuta Mbogo,Ndugu Anna Richard Lupembe, Kagera        Ndugu Bernadetha Kasabango Mushashu,Ndugu Oliva Daniel Semuguruka,KigomaNdugu Josephine Johnson Genzabuke,Ndugu Philipa Geofrey Mturano.

Mikoa mingine ni Kilimanjaro    Ndugu Shally Josepha Raymond,Ndugu Betty Eliezer Machangu,Lindi Ndugu Hamiuda Miohamed Abdallah,Ndugu Tecla Mohamed Ungele,Mara         Ndugu Agnes Mathew Wambura,Ndugu Christina Mwema Samo,Manyara   Ndugu Martha Jachi Umbulla,Ndugu Esther Alexander Mahawe,Mbeya  Dr. Mary Machuche,Ndugu Mary Obadia Mbwilo,Morogoro     Ndugu Christine Gabriel Ishengoma,Ndugu Sarah Msafiri Ally,Mtwara       Ndugu Anastazia James Wambura,Ndugu Agness Elias Hokororo,Mwanza  Kemirembe Julius Lwota,Ndugu Kiteto Zawadi Konshuma.


Wengine ni Susan Alphonce Kolimba,  Neema William Mgaya kutoka Mkoa wa Njombe,
Pwani,  Zaynab Matitu Vullu, Subira Khamis Mgalu, Rukwa, Bupe Nelson Mwakang’ata,Ndugu Silafu Jumbe Maufi,Ruvuma   Ndugu Jacqueline Ngonyani Msongozi, Sikudhan Yassini Chikambo,Simiyu     Esther Lukago Midim, Leah Jeremia Komanya,Songwe     Ndugu Juliana Daniel Shonza,u Neema Gerald Mwandabila,Singida, Aisharose Ndogholi Matembe,Ndugu Martha Moses Mlata,Shinyanga    Lucy Thoma Mayenga,Ndugu Azza Hillal Hamad,Tabora Ndugu Munde Tambwe Abdallah, Mwanne Ismail Mchemba,Tanga   Ummy Ally Mwalimu, Sharifa O. Abebe

WABUNGE WA MIKOA WALIOTEULIWA KUPITIA JUMUIYA YA UWT - ZANZIBAR

Kaskazini Pemba Ndugu Maida Hamad Abdalla,Ndugu Asya Sharif Omar,Kaskazini Unguja       Ndugu Angelina Adam Malembeka,Ndugu Mwanajuma Kassim Makame,Kusini,Pemba        Ndugu Faida Moh’d Bakar,Ndugu Asha Moh’d Omar,Kusini Unguja     Ndugu Asha Mshimba Jecha,Ndugu Mwamtum Dau Haji,Magharibi Ndugu Tauhida Cassian GalosNdugu Kaukab Ali Hassan,Mjini Unguja       Ndugu Fakharia Shomar Khamis Ndugu Asha Abdallah Juma

WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI – VITI MAALUM – ZANZIBAR
Kaskazini Pemba Ndugu Bihindi Hamad Khamis,Ndugu Choum Kombo Khamis,Kaskazini Unguja    Ndugu Panya Ali Abdalla,Ndugu Mtumwa Suleiman Makame,Kusini Pemba,Ndugu Shadya Moh’d Suleiman,Ndugu Tatu Moh’d Ussi,Kusini Unguja       Ndugu Salma Mussa Bilali,Ndugu Wanu Hafidh Ameir,Magharibi      Ndugu Mwanaidi Kassim Mussa,Ndugu Amina Iddi Mabrouk,Mjini      Ndugu Mgeni Hassan Juma,Ndugu Saada Ramadhan Mwendwa


WABUNGE WA WALIOTEULIWA KUPITIA MAKUNDI MENGINE
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)       Ndugu Halima Abdallah Bulembo,Ndugu Zainabu Athuman Katimba,Ndugu Mariamu Dittopile Mzuzuri,Ndugu Maria Ndilla Kangoye,Ndugu Sophia Mfaume Kizigo,Ndugu Irine Uwoya.

UVCCM - ZANZIBAR
Ndugu Khadija Nassir Ali,Ndugu Munira Mustafa Khatibu,Ndugu Nadra Juma Mohamed,Ndugu Time Bakar Sharif kundi la wazazi  Ndugu Najma Murtaza Giga   -    Tanzania Zanzibar),Ndugu Zainabu Nuhu Mwamwindi  - (Tanzania Bara),Walemavu     Ndugu Stella Alex Ikupa,Ndugu Amina Saleh Mollel,Vyuo Vikuu     Ndugu Jasmin Tisekwa Bunga,Ndugu Esther Michael Mmasi,NGO’s     Mchungaji Getrude P. Rwakatare,Ndugu Khadija Hassan Aboud,Wafanyakazi   Ndugu Angelina Jasmin Kairuki,Ndugu Hawa Mchafu Chakoma.

Katika mchakato huo idadi ya wagombe wote waliochukua fomu za kuombe nafasi ya ubunge ni 2721 ambapo wanawake walikuwa 781 na wanaume 1940.
Taya uteuzi huo umeshakamili hivyo wagombe awanasubiri kipenga kipulizwa rasmi kwa ajili ya kuanza kampeni.

No comments