Watia nia wa CCM Jimbo la Malindi, Zanzibar wajieleza
Wananchi
wa Jimbo la Malindi wakiwasikiliza kwa makini wagombea wa nafasi za
Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wakijieleza kwao ili wawachague.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wasio na Ajira Tanzania (TUEPO) Ussi Said Suleiman ambaye pia ni mtia nia ugombea Uwakilishi Jimbo la Malindi kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake kwa wananchi wa Tawi la Mkunazini. Zoezi hilo limefanyika Skuli ya Maandalizi Kidutani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo ZNZ.
Wagombe Uwakilishi, Ubunge na Udiwani Mwenyekiti wa Mkutano huo (hayupo pichani) wakati akitoa maelezo kwao.
Daktari Bingwa wa binaam Abdalla Juma Sadala (Mabodi) ambaye ni mtia nia ugombea Ubunge wa jimbo la Malindi kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama hicho katika mkutano wa wagombea uliofanyika Skuli ya Maandalizi Kidutani Mjini Zanzibar. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo ZNZ)

No comments