Header Ads

ad

Breaking News

Mechi 900 kuonesha 'Live' Supersport

DSC_0032
Meneja Uhusiano wa DSTV, Barbara kambogi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo julai 30, 2015 kuhusu moto wa la Liga utawashwa ndani ya Super Sport 3(SS3) Afisa masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samaly (kushoto) na kulia ni Meneja uendeshaji wa DST,Ronald Shelukindo.
………………..
Mechi zenye ubora wa HD pamoja na michuano ya Ligi kuu ya Uingereza (EPL),Ligi ya Hispania (La liga),Ligi ya Mabingwa wa Ulaya  (UEFA),Ligi ndogo za Ulaya (Europa),Mechi za FIFA za kirafiki za
kimataifa na Klabu bingwa ya Dunia ,Kombe la Ujerumani ,Kombe la Mfalme Hispania (Copa Del Rey) na Kombe la FA.
Wateja wa DStv wakae tayari kwenye msimu wa mabingwa ulimwenguni ambapo Barcelona wanajiandaa kutawala dunia kwa mara nyingine huku Manchester United wakihitaji kurudisha kiti chao cha ubingwa
Uingereza.
Katika msimu huu zaidi ya mechi 900 za kimataifa zitaonyeshwa
kimataifa na wateja wa DSTV Compact Plus wataweza kufurahia baadhi ya mechi zaidi 450 live
huku wateja wa Dstv premium watazawadiwa mechi zote.
Babra amesema wateja wa Dstv vituko vya michuano yote ya
ligi kuu Uingereza vitaletwa kupitia Suparspot (SS5) kinochopaatikana katika
kifurushi cha Premium na SS5 itakuwa ndio nyumba ya soka la Afrika kwa Ligi kuu
ya Uingereza.
????????????????????????????????????
Afisa masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samaly akifafanua jambo.
DSC_0014
Meneja uendeshaji wa DST,Ronald Shelukindo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu chanmeli mpya ya michezo katika kingamuzi cha Multchoice.
DSC_0020
Waandishi wa habari wakifatilia taarifa katika uzinduzi wa channel katika hafla hiyo.

No comments