Kongamano la Uongozi wa Afrika 2015 lafanyika jijini Dar es Salaam
Marais wastaafu Oleseguna Obasanjo wa Nigeria (kushoto), Benjamin Mkapa (watatu) wa Tanzania,
Jerry Rawlings (wa nne) wa Ghana, Festus Mogae (kulia) wa Botswana na
Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Afrika (AU) Salim Ahmed Salim (wa pili
kushoto), wakiwa katika majadiliano kwenye Kongamano la Uongozi wa Afria
2015, jijini Dar es Salaam leo.
Rais mstaafu Jerry Rawlings wa Ghana, akitoa maelezo kuhusu matatizo na masuala mbalimbali ya uongozi wa Afrika katika kongamano hilo.
Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Afrika (AU), Salim Ahmed Salim, akitoa maelezo kuhusu matatizo na masuala mbalimbali ya uongozi wa barani Afrika katika kongamano hilo.
Marais wastaafu Oleseguna Obasanjo wa Nigeria (kushoto), Jerry Rawlings (wa nne) wa Ghana, Festus Mogae (kulia) wa Botswana na Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Afrika (AU) Salim Ahmed Salim (wa pili kushoto), wakiwa katika majadiliano kwenye Kongamano.
Rais mstaafu Oleseguna Obasanjo wa Nigeria, akizungumzia kuhusu uongozi wa Afrika katika kongamano hilo, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya viongozi washiriki wa kongamano hilo, wakifuatilia maelezo mbalimbali kuhusu uongozi wa Afrika.
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa kongamano hilo, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akiwasili Hoteli ya Serena kwa ajili ya kulifungua kongamano hilo la viongozi wa Afrika, kuhusu Uongozi wa Afrika 2015.
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa kongamano hilo, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akiongozana na mwenyeji wake, Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamini Mkapa, wakielekea kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena kwa ajili ya kulifungua kongamano hilo.
Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamini Mkapa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akizungumza na viongozi wa Afrika, alipolifungua Kongamano la Kimataifa kuhusu Uongozi wa Afrika 2015, lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi, Dar es Salaam leo. Wengine ni Marais wastaafu, Benjamin Mkapa wa Tanzania, Jerry Rowlings wa Ghana na Festus Mogae wa Botswana.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akizungumza na viongozi mbalimbali wa Afrika, alipokuwa akilifungua Kongamano la Kimataifa kuhusu Uongozi wa Afrika 2015, jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya viongozi walioshiriki kongamano hilo, wakisikiliza hotuba ya ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na mgeni rasmi, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni jijini leo.
Baadhi ya wageni walioshiriki kongamano hilo, wakisikiliza hotuba ya ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na mgeni rasmi, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akizungumza na wakati akilifungua kongamano hilo.
VIONGOZI wa wastaafu wa nchi za Afrika wamesema katika kufungua Ukanda wa Uchumi wa Bara la Afrika ni wajibu sasa kuwekaza katika miundombinu itakayounganisha nchi zao.
Wakiongea kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam leo, katika mkutano wa Jukwaa la Viongozi wa Afrika, viongozi hao ambao ni Oleseguna Obasanjo wa Nigeria, Bakili Muluzi wa Malawi, Jerry Rawlings wa Ghana, Benjamin Mkapa na Katibu mstaafu wa Umoja wa Afrika (AU) Salim Ahmed Salim, wote wa Tanzania.
Rais Obasanjo, alisema kimsingi Afrika inahitaji kufanya mapinduzi ya kifra katika kupiga hatua za kimaendeleo ili kukuza uchumi na maendeleo ya watu wake ambayo yanaonekana kukwama.
Obasanjo alisema kinachohitajika ni viongozi wa nchi za Afrika kuchukua hatua za maksudi ili kuendeleza nchi zao na kuachana na dhana kuwa watu kutoka nje ya nchi.
Alisema jitihada za kuondoa Ukoloni zinaonekana kufanikiwa kwa kiasi fulani ila tatizo kubwa linabakia kuwa katika uongozi na kufikia maendeleo.
"Kimsingi Afrika inahitajika kufanya mabadiliko ya mfumo wa uongozi, kwani kinyume na hivyo itachukua muda kupata mafanikio katika sekta zote muhimu, kama uchumi, jamii na Siasa," alisema.
Alisema viongozi wa Afrika wakiamua kutumia wataalamu wake ni wazi kuwa mtandao wa kiuchumi, biashara na viwanda utafanikiwa kwa kiwango kizuri.
Kwa upande wake Rais mstaafu wa Ghana Rawlings alisema pamoja na mikakati mbalimbali ambayo inaweza kuwekwa pia ni wajibu wa viongozi wa bara hili kupambana na vita vilivyopo katika baadhi ya nchi.
Alisema pia ushirikishaji wananchi katika hatua mbalimbali za utatuzi wa changamoto zinazowakabili ni njia sahihi ya kufikia malengo chanya.
Rais mstaafu wa Malawi, Muluzi alisema ni wakati muafaka wa taasisi za kikanda kufanya kazi kamamz inavyohitajika ili kukuza uchumi wa nchi za Afrika.
Muluzi alisema iwapo taasisi kama ECOWAS, SADC na zingine kufanya kazi kwa pamoja ili kuwa kichochoe cha kuendeleza uchumi wa nchi hasa ambazo bado zipo nyuma kimaendeleo.
Katibu Mkuu mstaafu wa AU Dk. Salim alisema Afrika inahitaji viongozi wawajibikaji ili kkuleta maendeleo ya kweli ikiwa ni pamoja na kuondoa vikwazo ambavyo havina sababu akitolea mfano vibali vya kuingia nchi moja kutoka nchi nyingine (visa).
Alisema Afrika bado inaendelea kubakia nyuma kwa mtazamo wa kihistoria jambo ambalo halikubaliki kwa sasa kwani maendeleo yanahitajika kwa haraka.
"Afrika nchi zake zinakabiliana na historia lakini pia kuna udhaifu katika sekta ya uongozi kuwajibika ipasavyo hivyo nchi kuendeshwa kwa mazoea," alisema.
Kwa upande wake Rais Mkapa alisema ni wakati muafaka kwa Afrika kutumia rasilimali zake ipasavyo ili ziweze kuchangia mabadiliko kwa watu wake.
Aidha alisema ni wajibu wa viongozi kuhakikisha kuwa taasisi za kiuchumi zilizopo zinatumika kikamilifu kusukuma maendeleo kwani zinaonekana kushindwa kwa sasa hali ambayo inaongeza umaskini.
Mkapa alisema pamoja na jitihada zote hizo pia wajibu wananchi kufanya kazi kwa nguvu zote kuhakikisha kuwa wanakuwa kichochoe cha maendeleo ya nchi zao na wao binafsi.

No comments