Nusu fainali CECAFA: Azam vs KCCA jioni, Gor Mahia vs Al Khartoum mapema
Mechi za nusu fainali Kombe la Kagame zinazochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, zitakutanisha Al Khartoum dhidi ya Gor Mahia, mechi itakayoanza mapema.
Mechi ya pili itapigwa kuanzia saa 10 jioni kati ya Azam FC ya Tanzania dhidi ya KCCA. mshindi katika kila mechi watakutana katika mechi ta fainali ityakayopigwa Jumapili katika uwanja huo huo.

No comments