ANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO
Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo.
Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.
Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.
Swala ikiendelea. Picha zote Globalpublishers
Wasanii wa sanaa za
maigizo maarufu kama ‘Bongo Movies’ wanaoishabikia klabu ya Simba leo
wamekabidhiwa kadi za uanachama wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa
Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuelekea kwenye kilele cha siku
ya Simba ijulikanayo kama ‘Simba Day’ ambayo huadhimishwa kila ifikapo
Agosti 8 kila mwaka.
Mwenyekiti wa klabu hiyo Evans Aveva ndiye aliyewakabidhi kadi hizo
wasanii wakiongozwa na Jacob Steven ‘JB’, Mtitu, Monalisa pamoja na
Odama ambao wote kwa pamoja wakekuwa wanachama wapya wa klabu hiyo
kuanzia sasa.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
BONGO MOVIES
WAKABIDHIWA KADI ZA UANACHAMA WA SIMBA
1Wasanii wa sanaa za maigizo maarufu kama ‘Bongo Movies’ wanaoishabikia
klabu ya Simba leo wamekabidhiwa kadi za uanachama wa klabu hiyo yenye
maskani yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuelekea
kwenye kilele cha siku ya Simba ijulikanayo kama ‘Simba Day’ ambayo
huadhimishwa kila ifikapo Agosti 8 kila mwaka.
Mwenyekiti wa klabu hiyo Evans Aveva ndiye aliyewakabidhi kadi hizo
wasanii wakiongozwa na Jacob Steven ‘JB’, Mtitu, Monalisa pamoja na
Odama ambao wote kwa pamoja wakekuwa wanachama wapya wa klabu hiyo
kuanzia sasa.
2Baada ya kukabidhiwa kadi zao JB alizungumza kwa niaba ya wenzake
akisema anajisikia fahari kubwa kukabidhiwa kadi ya uanachama wa Simba
kwasabu klabu hiyo ni moja kati ya timu kubwa barani Afrika yenye
historia ya aina yake katika soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla na
anafurahi kuwa mmoja wa wanachama wa klabu hiyo.
“Simba ni klabu kubwa iliyojaa historia ya aina yake na mimi najivunia
kuwa mwanachama wa klabu hii japo timu yetu imekuwa haifanyi vizuri sana
kwa siku za hivi karibuni”, amesema JB.
3“Klabu ya Simba imeanza kutambua mchango wa wasanii kwenye timu yao na
ndio imekuwa klabu ya kwanza nchini kukabidhi kadi kwa wasanii hadharani
kama hivi, lakini usishangae kuona vilabu vingine vimeiga na kufanya
hiki ambacho kimefanywa leo na klabu ya Simba”, aliongeza.
Katika hatua nyingine, Simba imesema imeialika timu ya FC Leopards kuja
kucheza mchezo wa kirafiki katika kusherehekea siku ya Simba Day
itakayoadhimishwa Agosti 8 mwaka huu. Rais wa Simba Bw. Aveva ameongeza
kuwa, siku hiyo kutakuwa na mechi ya utangulizi kati ya viongozi wa
Simba watakao kipiga dhidi ya wasanii wa Bongo Movies kabla ya mtanange
wa Simba SC dhidi ya FC Leopard.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
BONGO MOVIES WAKABIDHIWA KADI ZA UANACHAMA WA SIMBA

5

No comments