VITAMBULISHO FAINALI ZA AFCON 2013 MWISHO NOV 7
Waandishi
wa Habari wanaotaka kuripoti fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika
mwakani nchini Afrika Kusini wanatakiwa kutuma maombi ya kupatiwa vitambulisho
(Accreditation) kabla ya Novemba 7 mwaka huu.
No comments