LONDON, England
KLABU ya Fulham, inamfukuzia kiungo
wa Inter Milan, McDonald Mariga, kwa ajili ya kumsajili Januari mwakani.
Nyota huyo wa Kenya, ambaye pia
anafukuziwa na Manchester City, dau lake ni pauni milioni 6, amekuwa akikaa
benchi na kukosa namba chini ya kocha Andrea Stramaccioni.
No comments