Header Ads

ad

Breaking News

DKT NCHIMBI AUNGURUMA SIKONGE NA KALIUA KUSAKA KURA ZA URAIS, WABUNGE NA MADIWANI


Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Emmanuel Nchimbi bado yupo mkoani Tabora ambako anaendelea na kampeni za kunadi sera za chama hicho pamoja na kuomba kura kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu.


Dkt.Nchimbi katika kampeni hizo anaendelea kuipeperusha bendera ya chama hicho kwa kunadi sera na wagombea katika maeneo yote anayopita akiwemo Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kwa mujibu wa ratiba ya kampeni hizo, Dkt. Nchimbi leo Oktoba 5, 2025 atafanya mikutano miwili, ambapo ameanza na Sikonge kwenye Uwanja wa TASAF na kisha atamaliza siku yake kwa mkutano mkubwa utakaofanyika Kaliua kwenye viwanja vya Konane.

















No comments