Msajili Msaidizi wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi
Benedict Mukama (kulia) akifafanua jambo
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akieleza juu ya maadhimisho ya
Siku ya Wahandisi nchini ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Dodoma kuanzia
tarehe 7 hadi 8 mwezi Septemba, kushoto ni Kaimu Msajili wa bodi hiyo, Mhandisi
Patrick Barozi.
(Picha zote na Eliphace Marwa - MAELEZO)
|
No comments