Mkurugenzi
wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo akizungumza kwenye
Semina ya masuala ya kodi kwa wanahabari iliyoandaliwa na Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Ofisa Kodi Mkuu wa TRA, Sydney Mkamba na Anjela
Michael (kulia) Mwenyekiti wa Semina hiyo.Ofisa
Mkuu wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA), Gabriel Mwangosi (wa kwanza kushoto) akiwasilisha mada katika
Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA).Baadhi
ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT
jijini Dar es Salaam.Baadhi

jijini Dar es Salaam.Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikiendelea.Baadhi
ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT
jijini Dar es Salaam.Baadhi
ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT
jijini Dar es Salaam.
TRA waendesha Semina ya masuala ya kodi kwa waandishi wa habari Dar es Salaam
Reviewed by Majuto Omary na Frank Balile
on
5:55 PM
Rating: 5
No comments