Rais Shein atembelea maenneo yaliyokumbwa na mafuriko leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa
maelezo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi wa Barabara katika Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Ali Twahir leo wakati
alipotembelea Bonde la Kibonde Mzungu kutoka na Mafuriko yalitokea hivi
karibuni kutoka na mvua kubwa za Masika zinazoendelea kunyesha,[Picha na
Ikulu.]14/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) alipokuwa
akiangalia maji ya Mvua yaliyofurika katika bonde la Mwanakwerekwe
nyumba mbili leo kutokana na ujenzi holela wa Nyumba za Wananchi
zilizojengwa na kupelekea kutopitisha maji katika njia inayoelekea Ziwa
Maboga, kutokana na mvua kubwa za Masika zinazoendelea kunyesha,[Picha
na Ikulu.]14/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa
akiangalia maji yanayopita katika barabara ya Mwera gudini – Fuoni meli
saba leo wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea maoneo mbali
mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha
(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed
Mahmoud,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( kushotio) alipokuwa
akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bumbwisudi leo wakati alipofika
kuwariji na kuwapa pole kutokana na Nyumba zo kuingiliwa na maji ya mvua
wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea maoneo mbali mbali
yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha (wa pili
kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed
Mahmoud,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.

Pichani ni maji ya Mvua yakiwa
yamefurika na kupelekea kufunga njia ambapo wananchi na magari hupita
kwa taabu kubwa katika barabara ya Bonde la Kibonde Mzungu,wakati
leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein ( hayupo pichani) alitembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake
katika ziara maalum,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.

Pichani ni Nyumba zinazojengwa
eneo la Nyumba mbili Mwanakwerekwe ambapo hali hii hupelekea kuzipa kwa
mtaro wa maji ya Mvua yanayoelekea ziwamaboga na kusababisha kuziba kwa
barabara ya Mwanakwerekwe-Fuoni hatua mabyo kusababisha usumbufu kwa
wananchi wanaotumia barabara hiyo,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( hayupo pichani) leo
alitembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake katika ziara maalum,[Picha
na Ikulu.]14/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kulia) alipokuwa
akipata maelezo kutoka kwa Mkuu ya Idara ya Mipango Miji,Kazi na Ujenzi
katika Baraza la Manispaa ya Zanzibar Nd,Mzee Khamis Juma wakati
alipotembelea Mtaro wa kaji machafu katika shehia ya Chumbuni alipokuwa
katika ziara ya kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya
Mvua za masika zinazoendelea kunyesha,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa
maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na
Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (kulia) alipotembelea barabara ya
Mwera gudini – Fuoni meli saba leo wakati alipokuwa katika ziara ya
kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika
zinazoendelea kunyesha (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akiangalia
ramani inayoonesha utaratibu wa Ujenzi wa Mitaro kutoka kwa Mkuu ya
Idara ya Mipango Miji,Kazi na Ujenzi katika Baraza la Manispaa ya
Zanzibar Nd,Mzee Khamis Juma (kulia) wakati alipotembelea Bonde la Maji
mwanakwerekwe leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maoneo mbali
mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha
(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe,Mohamed Aboud Mohammed,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.
No comments