Ujerumani yaisaidia Serikali ya Tanzania Sh. Bilioni 39.1

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.
Servacius Likwelile (kulia) akibadilishana hati ya makubaliano na Balozi
wa Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Egon Kochanke (kushoto) katika hafla
ya utiaji saini wa mikataba 2 ya sekta za maji, afya na maliasili leo
alhamisi (Agosti 13, 2015) Jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.
Servacius Likwelile (wa kwanza kulia) akisaini hati ya makubaliano
katika hafla ya utiaji saini wa mikataba 2 ya sekta za maji, afya na
maliasili leo alhamisi (Agosti 13, 2015) Jijini Dar Es Salaam. Wa pili
kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Egon Kochanke
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.
Servacius Likwelile akiongea na baadhi ya viongozi wa Wizara hiyo,
ujumbe wa ulioandamana na Balozi wa Ujerumani pamoja na waandishi wa
habari mara baada ya utiaji saini wa mikataba 2 ya sekta za maji, afya
na maliasili leo alhamisi (Agosti 13, 2015) Jijini Dar Es Salaam.
Balozi wa Ujerumani nchini
Tanzania, Mhe. Egon Kochanke akiongea na baadhi ya viongozi wa Wizara ya
Fedha, wajumbe kutoka Ujerumani pamoja na waandishi wa habari mara
baada ya utiaji saini wa mikataba 2 ya sekta za maji, afya na maliasili
leo alhamisi (Agosti 13, 2015) Jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.
Servacius Likwelile (kulia) akiteta jambo na Balozi wa Ujerumani nchini
Tanzania, Mhe. Egon Kochanke leo alhamisi (Agosti 13, 2015) Jijini Dar
Es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba 2 ya sekta za
maji, afya na maliasili.
Baadhi ya wajumbe wa ulioandamana
na Balozi wa Ujerumani wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.
Servacius Likwelile (hayupo pichani) alipokuwa anaongea wakati wa hafla
ya utiaji saini wa mikataba 2 ya sekta za maji, afya na maliasili leo
alhamisi (Agosti 13, 2015) Jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya viongozi kutoka Wizara
ya Fedha, wajumbe kutoka Ujerumani pamoja na waandishi wa habari
waliohudhuria hafla ya utiaji saini wa mikataba 2 ya sekta za maji, afya
na maliasili leo alhamisi (Agosti 13, 2015) Jijini Dar Es Salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
No comments