Mgeja amfuata Lowassa Chadema
![]() |
| Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja akitangaza kubwaga kuachia ngazi CCM na kujiunga Chadema katika ukumbi wa Idara ya MAELEZO Dar es Salaam, leo. |
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja ametangaza
rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na
Maendeleo.
Mgeja ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA mbele ya wanahabari jijini Dar es salaam ambapo ametumia kauli ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 alipozungumzia haja ya chama hicho kujisahihisha kwamba " Watanzania wanahitaji mabadiliko na wasipoyapata ndaniya CCM watayatafuta nje ya CCM"
Mgeja ni mmoja wa wanachama waliokuwa mstari wa mbele katika kumuunga mkono Edward Lowassa katika mbio za kuomba ridhaa ya CCM kugombea urais.

No comments