RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA BARAZA LA VIJANA WA CCM
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana
 na Mjumbe wa NEC Jerry Slaa
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia 
kwenye Baraza la Vijana wa CCM
 Wajumbe wa Baraza la Vijana wa 
CCM wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri 
ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
 Wajumbe wa Baraza la Vijana wakiwa kwenye hamasa ya hali ya juu.
 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda akihutubia Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM
 Wageni waalikwa kutoka nje ya Nchi (Diaspora)
 Dk.Emmanuel Nchimbi akiteta 
jambo na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
 Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM
 Mgombea Urais kwa tiketi ya |CCM
 Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa 
CCM na kuwaambia kuwa atashirikiana nao vizuri.
 Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na 
Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Sixtus Mapunda wakihimiza vijana kuwa 
imara.
 Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiteta jambo na Dk. Emmanuel Nchimbi.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye
 picha ya pamoja na wajumbe wa NEC Vijana mara baada ya kufungua na 
kumaliza kuhutubia Baraza la Vijana wa CCM.
 















 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments