Schalke wakiwa hawana raha baada ya kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea ya England. Chelsea wakipiga makofi kama njia mojawapo ya kushangilia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Schalke ya Ujerumani jana usiku.
No comments