MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI, CHANGAMOTO ZA MAENDELEO NA UKUAJI WA MIJI BARANI AFRIKA, JIJINI ARUSHA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa
kuhusu mabadiliko ya Tabianchi, Chanagamoto za Maendeleo na ukuaji wa Miji
Barani Afrika. Mkutano huo umefunguliwa Julai 24, 2013 Jijini Arusha. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa
kuhusu mabadiliko ya Tabianchi, Chanagamoto za Maendeleo na ukuaji wa Miji
Barani Afrika. Mkutano huo umefunguliwa leo Julai 24, 2013 Jijini Arusha. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Jarida la Sayansi, kutoka kwa
Mkurugenzi wa Sayansi 'Physical Sciences' (COSTECH) Prof. Clavery Tungaraza,
baada ya Makamu kufungua rasmi mkutano huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount
Meru, Jijini Arusha Julai 24, 2013. Picha na OMR
Profesa Rwekaza Mukangara, akizungumza kabla ya kumkaribisha
Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa
Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi rasmi. Picha na OMR

No comments