MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA KOZI YA KWANZA YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NDC, JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi
maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Charles
Omari Mkumbo, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo
hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Julai 20, 2013. Picha na OMR

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza ya
Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Dkt. Regnald Abraham Mengi,
wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho,
Kunduchi jijini Dar es Salaam, Julai 20, 2013. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha
Ulinzi, Charles Makakala, wakati alipokuwa akitembelea katika Maktaba ya chuo
hicho, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho, Julai 2013.
Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa
Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi
(NDC) Prof. Ibrahim Lipumba, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo
zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Julai 20,
2013. Picha na OMR
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihutubia wakati akifunga rasmi Kozi ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), katika sherehe za maafali ya wahitimu wa mafunzo hayo zilizofanyika chuoni hapo Kunduchi, Jijini Dar es Salaam, Julai 20, 2013. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha
Ulinzi, Charles Makakala, wakati alipokuwa akitembelea katika Maktaba ya chuo
hicho, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho, Julai 2013.
Picha na OMR
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo, waliochanganyikana na wahitimu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na baadhi ya viongozi, wakiwa katika picha
ya pamoja ya kumbukumbu na wahitimu wa Kozi hiyo, baada ya kufunga rasmi Kozi
ya Kwanza ya Chuo hicho, Julai 2013. Picha na OMR
No comments