ASKARI WALIOKUFA DARFUR WAAGWA LEO DAR, RAIS KIKWETE AWAONGOZA WANANCHI KUAGA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO
Makamu wa Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan
kutokana na shambulizi la ghafla, wakati Makamu na viobgozi wengine walipofika
kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa
Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wafiwa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Askari wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni
Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa
zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika
Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili
ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha
Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla,
wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo
katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo wakati wa zoezi la kutoka heshima za mwisho kwa miili ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni
Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla,zoezi hilo lilifanyikakatika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. Picha na
OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wafiwa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa
miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza
maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la
ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari
hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. Picha na
OMR
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akitia saini katika Kitabu
cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na shambulizi la
ghafla, wakati walipofika kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari
hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. Picha na
OMR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, akiwafariji wafiwa baada
ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13,
2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za
mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga
jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, John Nchimbi akiteta jambo
na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, wakati
wakiwa katika shughuli hiyo ya kuaga miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan kutokana na
shambulizi la ghafla. Kulia ni Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Picha na OMR
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnard Mengi, akiwa na
baadhi ya viongozi, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Majeneza yenye miili ya
Askari wa kulinda Amani, wa jeshi la Ulinzi la Tanzania, waliokufa huko Darfur
Julai 13, 2013, wakati wa zoezi la kuagwa miili hiyo lililofanyika leo kwenye
Uwanja wa Wizara ya Ulinzi, Upanga jijini Dar. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Bilal, na viongozi
wengine wakiwa katika shughuli hiyo ya kuagwa miili ya askari hao leo kwenye
Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga Dar es Salaam. Picha na OMR
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnard Mengi, akiwa na
baadhi ya viongozi, wakiwafariji wafiwa baada ya kutoka heshima za mwisho kwa
miili ya Askari wa kulinda Amani, wa jeshi la Ulinzi la Tanzania, waliokufa
huko Darfur Julai 13, 2013, wakati wa zoezi la kuagwa miili hiyo lililofanyika
leo kwenye Uwanja wa Wizara ya Ulinzi, Upanga jijini Dar. Picha na OMR
Mkuu wa Majeshi David Mwamunyange, akizungumza wakati wa
zoezi hilo.
Rais Jakaya, akizungumza wakati wa zoezi hilo.
Baadhi ya wafiwa wakiwa na huzuni huku wengine wakilia kwa
uchungu wakati wa kuagwa miili hiyo.
Baadhi ya wafiwa wakiwa na huzuni huku wengine wakilia kwa
uchungu wakati wa kuagwa miili hiyo.
No comments