Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa akina Mama Wajasiliamali
kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika, uliofanyika leo Oktoba 22, kwenye Ukumbi
wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza
kufanyika nchini Tanzania
|
No comments