MICHUANO YA SUPER 8 YAANZA KURINDIMA, SIMBA NA JAMHURI ZATOKA SARE
Gorikipa
wa Jamhuri ya Permba, Jaffari Said akiokoa moja ya hatari
zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano
ya BancABC Sup8R kwenye uwanja wa Azam Chamazi jijini Dar.
Hassan Khatib akimiliki mpira
Beki wa Simba, Hassan Khatib akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Jamhuri ya Pemba, Mohamed Ally.
Mshambuliaji
wa timu ya Jamhuri ya Pemba, Mohamed Ally akimtoka beki wa Simba,
Hassan Khatib wakati wa mchezo wa kuwania kombe la BancABC Sup8R uliofanyika kwenye Uwanja wa
Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Timu hizo zilifungana 1-1.
Kocha wa Jamhuri ya Pemba akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo kumalizika.
No comments