AUDITION YA ‘ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013′ YAVUTA WASHIRIKI ZAIDI YA 100 JIJINI DAR LEO

Casting
Coordinator wa ALLY REHMTULLA’S COLLECTION 2012 Audition Martin Kadinda
akitoa mwongozo wa zoezi hilo kwa Models walioshiriki.

Baadhi ya Models wa kiume waliojitokeza Serena Hotel wakisubiri usaili.

Pichani Juu na Chini ni Models wa kike na wa kiume wakipita mbele ya Majaji wakati wa usaili.


Meza
kuu ya Majaji kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Alliance Auto Bw. Alfred
Minja akiwakilisha CFAO Motors wauzaji wa Magari ya Mercedes Benz ambao
ndio wadhamini wakuu wa ‘ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013′, Aysha Mbarak
Meghji kutoka Ayman Garage-Convolution Ideas Ltd, Administrative
Assistant Mawalla Advocate na pia ni Model Myler Nyangasa, Mwasisi na
CEO wa Missie Popular Blog Mariam Ndabagenga na Fashion Stylist wa
Fashionnjukii.com Rosemary Kokuhilwa.

Pichani
Juu na Chini Models wa kike wakionyesha umahiri wa Catwalk wakati wa
Audition kwa ajili ya kuwania nafasi ya kushiriki “ALLY REHMTULLAH
COLLECTION 2013″.


Pichani Juu na Chini ni baadhi ya Models wa kiume wakipita jukwaani mbele ya majaji.


Baadhi ya Models wakiwa katika tafakari ya SIJUI NITAPITA wakati wa usaili huo kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.

Meneja
Masoko wa CFAO Motors Tharaia Ahmed ambao ni wauzaji wa magari aina ya
Mercedes waliodhamini onyesho la ‘ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013′
akielezea kuwa Mercedes Benz imedhamini Onyesho hilo kwa mara ya kwanza
kwa sababu kwanza wanamkubali Ally Rehmtullah kama mmoja wa wabunifu
wenye hadhi ya juu hapa nchini na kuwa wamechagua Brand ya Mercedes Benz
kwa sababu ni magari yenye kiwango cha juu na Rehmtullah ana ubunifu wa
hali ya juu.
Mercedes
Benz imekuwa ikijihusisha na udhamini wa ‘High and Fashion Show’
duniani kote pia Orchestra, Baley na Sailing matukio ambayo yanaendana
na hadhi ya magari ya Mercedes. Kulia ni Chief Editor wa MO BLOG Lemmy
Hipolite.

Sales
& Marketing Representative kutoka RAHA Preetkamal Bansal akielezea
kuwa kampuni yake imekuwa na furaha kushirikiana na Ally Rehmtullah kwa
kuwa ubunifu wake ni wa hali ya juu kama wao wanavyotoa huduma za
Intaneti za hali ya juu na wamekuwa wakitoa huduma ya ISP (Internet
Service Provider) kwa muda wa miaka 16 kwa kiwango kilekile.
RAHA
wakiwa wadhamini muhimu watawezesha watu kuona Live ‘ALLY REHMTULLAH
COLLECTION 2013′ itakayofanyika September 8 mwaka huu ambapo Watu
duniani kote wataona kupitia http://www.ar.co.tz/.
Amemalizia kwa kusema “On the day the Jungle puts on its show Our Broadband let you watch it Live”.

Majaji
Aysha Mbarak Meghji na Rosemary Kokuhilwa wakibadilishana mawazo baada
ya kazi kubwa ya kuchagua Models watakaoshiriki ‘ALLY REHMTULLAH
COLLECTION 2013′.
Ally Rehmtullah.
Hawa pia nao walikuwepo. www.fullshangwe.blogspot.com
No comments