Talent yajiandaa kuachia Pombe nimeikosea
Hussein Jumbe |
Akizungumza na Dira ya Mtanzania juzi, Mkurugenzi wa Talent, Hussein Jumbe, alisema ujio wa albamu hiyo ni baada ya kufanya vizuri kwa albam yake ya Kiapo mara tatu iliyokuwa na nyimbo sita.
Jumbe alizitaja baadhi ya nyimbo zilizomo kwenye albam ya Pombe nimeikosea heshima ni Asiyesikia la Mkuu.
Mwimbaji huyo alizitaja nyimbo zilizomo kwenye albamu iliyopita ni Kiapo mara tatu iliyobeba jina la albam, Shoka la bucha, Siri jipu la moyo, Kilio cha swahiba, vituko vya mama mkwe na ugumu wa maisha.
Jumbe alisema hivi karibuni bendi hiyo ilifanya ziara ya wiki mbili nchini Denmark na kufanikiwa kuzikonga nyoyo za mashabaki wa muziki nchini humo.
No comments