Header Ads

ad

Breaking News

Vijana kikapu waenda Nairobi kuitafuta Marekani

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Mussa Mziya (kulia), akikabidhi bendera ya Taifa kwa nahodha wa timu ya mpira wa kikapu ya vijana wenye miaka chini ya 16, Mrumbia Issa, jijini Dar es Salaam juzi, 2011. Timu hiyo iliondoka jana kwenda Nairobi, Kenya, kushiriki fainali za  ukanda wa Coca-Cola wa Afrika Mashariki, Kati na Magharibi(CEWA). Nyota wa fainali hizo watachaguliwa kwenda Marekani kwenye mafunzo zaidi chini ya udhamini wa Coca-Cola kupitia kinywaji chake cha Sprite.

No comments