Header Ads

ad

Breaking News

Mwenyekiti wa kijiji cha Kanyezi, Deodatus Chatindwa, akikata utepe wakati wa uzinduzi wa huduma za mawasiliano ya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kijiji cha Kanyezi wilayani Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa. Waliomzunguka ni wakazi wa kijiji hicho wakishuhudia uzinduzi, ambapo Airtel ndio mtandao pekee unaopatikana kijijini Kanyezi. Foto: Airtel

No comments