Shadrack Nsajigwa akiambaa na mpira wakati Yanga ilipocheza na Azam FC
Keneth Asamoah wa Yanga akijaribu kumtoka Erasto Nyoni wa Azam FC wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara leo. Azam FC ilishinda mabao 1-0.
Kiungo wa Yanga Nurdin Bakari (wa tatu kulia), akizuiwa na wachezaji wa Azam asitoe glovu za kipa Mwadin Ally golini. Foto: Zuberi Mussa)
Wachezaji wa Azam FC wakiwapungia mikono mashabiki wao baada ya mchezo dhidi ya Yanga kumalizika. Azam FC ilishinda bao 1-0.

No comments