yanga sasa basi, yalambwa 1-0 na Azam
Mashabiki wa Azam FC wakishangilia timu yao ilipocheza na Yanga. Foto: Zuberi Mussa.
Mabingwa wa soka Bara, Yanga, leo imeendelea kuwasononesha mashabiki wake baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0, dhidi ya Azam FC 'Wana lambalamba', kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Azam FC wakicheza kwa kujiamini, walijipatia bao la kwanza dakika ya 20, lililofungwa na John Bocco, akitumia vizuri makosa ya mabeki wa Yanga.
Bocco aliuwahi mpira Mrisho Ngassa na kuwatoka mabeki wa Yanga, Chacha Marwa na Bakari Mbegu na kuukwamisha mpira wavuni.
Kwa ushindi huo, Azam sasa imepanda mpaka nafasi ya pili kikitanguliwa na Simba yenye pointi 14, wakati Yanga wakiendelea kubaki na pointi sita.
Mashabiki wa Yanga wakishuhudia timu yao ikizama mbele ya Azam FC leo

No comments