Miss Universe picha zaidi
Miss Universe, Nelly Kamwelu wa Tanzania, akiwapungia mkono waandishi wa habari wakati walipowatembelea mjini Sao Paulo, Brazil, jana. Sao Paulo waliandaa mashindano hayo, ambapo Leila Lopes alitwaa umalkia. (AP)
Miss Angola Leila Lopes, kushoto, akivishwa taji la umalkia wa Miss Universe 2011 na Miss Universe 2010, Ximena Navarrete wa Mexico mjini Sao Paulo, Brazil, juzi.
Miss Universe wakiwa na bikini
Miss Universe wakipita na bikini
Wanyange wa Miss Universe wakiwa beach na bikini
No comments