Header Ads

ad

Breaking News

Eve atua jijini Nairobi


Balozi Kindamba (kushoto) akiwa na Eve kutoka Marekani mara baada ya kutua kwenye Uwanja wa Kiamataifa wa Jomo Kenyata jijii Nairobi, Kenya. Wengine ni wanausalama.
Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani, Eve E ametua
leo asubuhi kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta,jijini Nairobi,Kenya.

NGuli huyo wa muziki alipokelewa na mwenyeji wake
kutoka kampuni ya Prime Time Promotions Limited ya Dar es Salaam, Tanzania.

Mwanamuziki huyo ataungana na wanamuziki wengine akiwemo
Shaggy,Cabo Snoop na nyota wa Tusker All Stars, Peter
Msechu, Davis na Alpha wanaotarajiwa kutumbuiza kwenye jukwaa moja kesho Jumamosi kwenye viwanja vya Carnivo jijini Nairobi katika tamasha la Tusker All Stars 2011.

No comments