NCHIMBI AKIPOKEA BARAKA ZA MAMA YAKE MZAZI
Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, kuchukua fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Agosti 9,2025, katika Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
No comments