Meya wa Ilala Mhe.Jerry Silaa amtembelea Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea nyaraka muhimu ikulu leo kutoka kwa Meya wa Manispaa ya
Ilala Mhe.Jerry Silaa wakati meya huyo alipomtembelea na kufanya naye
mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya Manispaa
hiyo.Wengine katika picha ni viongozi kutoka manispaa ya Ilala
waliofuatana na Meya juzi (picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na Meya wa
Ilala Jerry Slaa na ujumbe wake wakati ujumbe huo ulipomtembelea Ikulu
leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Meya wa Manispaa ya Ilala wakati Meya huyo alipomtembelea Ikulu leo
No comments