Header Ads

ad

Breaking News

Dkt.Nchimbi asimikwa kimila kuwa 'Mtongi' msaidizi wa mtemi, apewa jina a 'Nyungu ya Mawe'


MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesimikwa kuwa msaidizi wa Mtemi, kimila akiitwa 'MTONGI' baada ya mkubwa wake mtemi Hangaya ambaye ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. 

Dkt. Nchimbi amesimikwa na viongozi wa kimila wa Unyanyembe (Tabora), kwenye mkutano wake wa mwisho wa kampeni mkoani humo, katika Kata ya Kigwa jimbo la Igalula, Wilaya ya Uyui na kupewa jina la "NYUNGU YA MAWE".










No comments