Dkt.Samia awaomba kura wana Kigoma, wamjibu 'Oktoba Tunatiki'
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasalimia wananchi wa Kigoma, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Katosho kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu mkoani humo, Septemba 14, 2025.
No comments:
Post a Comment