Dkt.Nchimbi azuru kaburi la Baba wa Taifa Julius Nyerere kijijini Mwitongo, Butiama
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo, Butiama na kuzuru kaburi la mwasisi huyo wa Tanzania na CCM.
No comments