Header Ads

ad

Breaking News

Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia alivyotikisa Meatu

 



MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Meatu katika mkutano mkubwa wa hadhara, uliofanyika kiwanja cha kituo cha mabasi mji wa Mwanhuzi, leo Jumanne Juni 17,2025, ukiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani  Simiyu.

Kabla ya kuzungumza na wananchi hao, Dkt. Samia alifungua Kiwanda cha Kuchakata Pamba cha Biosustain Tanzania Limited, kilichoko wilayani humo. 








No comments