DKT. SAMIA AFUNGUA KIWANDA MEATU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha Kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited, kilichoko Kata ya Mwamishali, Wilaya ya Meatu, leo Jumanne Juni 17,2025, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu.

No comments