Header Ads

ad

Breaking News

DKT. NCHIMBI AKIFUATILIA BAJETI KUU YA SERIKALI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akifuatilia Hotuba ya Mapendekezo ya Serikali kuhusu Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 akiwa ofisini kwake, katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Alhamisi, Juni 12,2025. Pamoja naye ni maofisa waandamizi wa CCM Makao Makuu.



No comments