Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT.SAMIA AKIFUATILIA BAJETI KUU YA SERIKALI AKIWA IKULU DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Dkt. Samia alikuwa akifuatilia Bajeti hiyo kwa njia ya Runinga kupitia Televisheni ya Taifa (TBC1) Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, leo Alhamisi Juni 12, 2025. Bajeti Kuu ya Serikali imesomwa katika Bunge la 12, mkutano wa 19 kikao cha 45 jijini Dodoma.



No comments