Header Ads

ad

Breaking News

VIONGOZI WA CCM KATIKA PICHA ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, walipokutana Ikulu Zanzibar leo Jumatatu,  Aprili 14,2025. 


Mwingine pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Mohamed Dimwa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein

No comments