RAIS SAMIA ASHIRIKI BARAZA LA EID EL FITRI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, Aprili 10, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali pamoja na waumini wa dini ya Kiislamu kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, Aprili 10, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mufti wa Tanzania Sheikh Mkuu Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally wakati wa Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, Aprili 10, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) Mama Shamim Khan ambaye aliwasilisha kwa niaba ya Wanajumuiya wenzake wakati wa Baraza la Eid El Fitr lililofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, Aprili 10, 2024.
Wageni mbalimbali pamoja na waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, Aprili 10, 2024.


No comments