Header Ads

ad

Breaking News

Naibu Waziri wa Elimu atembelea shule mkoani Tabora

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mhandisi Stella Manyanya  akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Tabora Wavulana jana mjini Tabora wakati alipotembelea shule hiyo kujionea ukarabati unaoendelea.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mhandisi Stella Manyanya (aliye wakumbatia wanafunzi) , Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ( wa pili kushoto  ), Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Queen Mlozi (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na  wanafunzi wa Shule ya Tabora Wasichana jana, wakati alipotembelea shule hiyo kujionea ukarabati wa majengo unaoendelea. (Picha na Tiganya Vincent-RS Tabora)
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mhandisi Stella Manyanya  akipata maelezo kutoka kwa wakufunzi wa Chuo cha VETA Tabora alipotembelea karakana ya kunyosha magari yaliyopata ajali.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mhandisi Stella Manyanya  akitoa maelekezo jana  kwa alipotembea karakana ya kuunganisha vyuma wakati wa ziara yake katika Chuo cha VETA Tabora

No comments