Nkurunziza afika Tanzania ziara yake ya kwanza nje tangu 2015
![]() |
Rais Nkurunziza akiwa na mwenyeji wake Rais John Magufuli baada ya kufika Ngara, kaskazini magharibi mwa Tanzania. (Ikulu, Tanzania) |
Rais wa Burundi
Pierre Nkurunziza anafanya ziara yake ya kwanza ya kigeni tangu kufeli
kwa jaribio la kupindua serikali yake zaidi ya miaka miwili iliyopita.
Watu hao waliikimbia Burundi baada ya mzozo uliotokana na hatua ya Bw Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.
Nkurunziza alikuwa akihudhuria mkutano nchini Tanzania wakati jaribo hilo lilipofanyika mwezi Mei mwaka 2015.
Mamia ya watu wameuawa tangu mzozo huo uanze wengi wanaodaiwa kuwa wafuasi wa upinzani.
No comments