Header Ads

ad

Breaking News

PICHA 10:STAA DAVID BECKHAM NDANI YA SERENGETI NA FAMILIA YAKE

Siku chache zilizopita mcheza soka maarufu duniani, David Beckham aliripotiwa kuwasili nchini Tanzania mara baada ya kuonekana uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport  Dar es laam akiwa na familia yake na kusemekana Beckham amekuja kwenye mapumziko na atatembelea vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania.
Hapa nimezinasa baadhi ya picha zikimuonyesha akiwa na familia yake kwenye hifadhi ya wanyama ya Serengeti. Pamoja na Beckham mastaa wengine walioekana kutembelea mbuga za wanyama Tanzania mwaka huu  ni pamoja na Will Smith na mwanamitindo Chanel Iman ambao wao walifika kwenye hifadhi ya Serengeti March 2017.
David Beckham na mwanae Brooklin
Beckham pia alitumia ukurasa wake wa Instagram David Beckham kusifia uzuri wa mbuga hiyo>>>

No comments