MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 45, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 12, 2017.Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
![]() |
Mwenyekiti wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha 45 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
![]() |
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na
Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45
cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
![]() |
Waziri wa Elimu ,Sayansi
na Teknolojia Mhe.Prof Joyce Ndalichako akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
![]() |
Naibu Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni
12, 2017.
|
![]() |
Naibu Waziri wa
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao
cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
![]() |
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017. |
![]() |
Naibu Waziri wa
Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali
ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 12, 2017.
|
![]() |
Waziri wa Mambo ya
Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45
cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
![]() |
Mbunge wa Mbinga
Mjini(CCM) Mhe.Sixtus Mapunda akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
![]() |
Mbunge wa
Kalenga (CCM) Mhe.Godfrey Mgimwa
akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
![]() |
Mbunge wa Mwibara
(CCM) Mhe.Kangi Lugola akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
![]() |
Mbunge wa Viti
Maalum(CCM) Mhe.Asha Juma akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
|
No comments