Beki Mamadou Sakho wa Liverpool raia wa Ufaransa ameendelea kula raha akitalii nchini Tanzania.
Taarifa
zinaeleza Sakho yuko nchini pamoja na familia yake akiwa ameongozana na
mkewe Majda na wanatarajia kutembelea katika mbuga za wanyama ingawa
imekuwa ikifanywa siri kubwa.
No comments