UTATA KIFO CHA IVAN:
Jina lake Halionekani Entebe Airport,Mwili Uliopita ni wa Ali Sennyomo, Zari Afunguka

Akihojiwa na TheUgandan kwa
mara ya kwanza baada ya mazishi ya aliyekuwa mume wake Ivan,Alijibu
maswali mengi aliyoulizwa likiwemo moja lenye utata zaidi kuhusu Mwili uliozikwa si wa Ivan bali ni wa Ali Sennyomo.
Katika kujibu hilo swali Zari alifunguka kuwa Ivan alikuwa na
Identity mbili Yaani Kama Ivan Semwanga akiwa Uganda na Kama Ali
Sennyomo akiwa South Africa na alibadilika kulingana na deals alikuwa
anapiga.Na Huanza kutambulika kama Ali Sennyomo Kuanzia Airport yeyote
SouthAfrica.Pia aliongezea hata alivyopita Entebe Airport juzijuzi
alipita kama Ali Sennyomo na Pia madaktari waliokuwa wakimtibu
SouthAfrica walikuwa wakimtibu kama Ali Sennyomo.Pia Zari alisistiza
kuwa alizikwa kule Kayunga ndiye Baba wa watoto wake.Pamoja na maelezo
yoote fununu kuwa Kifo cha Ivan ni Feki zimeendelea kushika kasi.
No comments