Kiongozi wa upinzani Urusi atupwa jela kwa kuandaa maandamano
![]() |
Kiongozi wa
upinzani nchini Urusi Alexei Navalny amehukumia kifungo cha siku 30 jela
kwa kukiuka sheria baada ya kuandaa maandamano.
Mamia ya watu walikamhwa wakati wa maandamano hayo yaliyofanyika kote nchini.
Polisi wa kupamba na maandamano walikuwa wakiwakamata waandamanaji kutoka kwa umati, kwa mujibu wa mwandjshi wa BBC aliyekuweko.
![]() |
Kiongozi huyo wa upinzani mwenyr umri wa miaka 42 baadaye alithibitisha hukumu yake katika mtandao wa twitter.
Polisi mjini Moscow wanasema kuwa takriban watu 5000 walishiriki maandamano hayo mjini humo.
No comments