NIMEFANYIWA UPASUAJI MARA TISA (9) LAKINI BADO,WATANZANIA NISAIDIENI.
Habari Ndugu Mtanzania Mzalendo, Kwa majina naitwa Exaud Mtei, Mwandishi wa Habari nchini Tanzania, kwa masikitiko makubwa imebidi niwe Balozi wa Kusambaza ujumbe huu ambao nimeupata kutoka kwa mwalimu wa shule ya Kawe Ukwamani akinieleza kuhusu maisha ya mwanafunzi wake wa kidato cha nne ambaye anashindwa kuendelea na masomo kutokana na matatizo yanayomkumba.
HUU NI UJUMBE WA
MWALIMU HUYO--
HABARI KAKA-Kuna
mwanafunzi wangu anaitwa Mariam Ibrahimu Mwema wa shule ya sekondari Kawe Ukwamani kidato cha 4 mwenye umri wa miaka 16 tu ana matatizo makubwa ya tumbo.
Alifanyiiwa operesheni ya kwanza akiwa
darasa la 3. Baadaye upasuaj uliendelea
takriban mara 9.
Hali yake kiafya
imezorota tena baada ya kuimarika katika miezi 2 iliyopita kufanyiwa operesheni
aliyofanyiwa pale Muhimbili. Ilikuwa ni operesheni ya 10 kwa huyu binti mwenye
umri chini ya miaka 18
Dogo kwa sasa ni wa
kutapika tu, tumbo limevimba tena na kitu kiumizacho zaidi ni kuwa FAMILIA YAKE
IPO TAABANI KIUCHUMI KWA SASA...!
Anaumwa kiukweli dogo hata
kukaa hawez..!
Pleeeeease wadau hebu
kila mmoja wetu afikirie nini anachoweza kumfanyia malaika huyu kunusuru
kiza kinene cha mustakabali wake
kimaisha. Kiukweli wazazi wake wamefikia hatua ya kutokujua hatma ya mtoto wao
kipenzi.
Wazazi hawana kitu
imebaki ni kumtazama tu, mtoto Analia wazazi wanalia basi ni tafrani Inaumiza
sana pale Mariam anapokuambia japo kama ingekuwa inawezekana basi yeye akupatie
nafsi yake nawe umpatie yako japo kwa masaa 2 ( dakika 120) japo naye apumzike
maumivu kwa muda huo.
Msaada unaohitajika kwa
sasa ni Matibabu ya haraka nje ya nchi kwa mujibu wa maelezo ya madaktari. Na
kwa msaada wa madaktari wa Tmj, Sanitas na Shree Hindumabdal hospital
tulifanikiwa kupata mawasiliano, hospital na daktari ambaye alitupatia gharama
za natibabu ya tatizo la mtoto wetu sambamba na gharama nyingine kuwa ni
takriban dola elfu nane ( 8000) za marekani.
Please wadau hata kwa
kuwashirikisha watu wengine na taasisi mnazozifahamu tumnusuru huyu
MALAIKA...! SANAHANI KWA MAKALA NDEFU.
NI MIMI MWALIMU MLEZI WA MARIAMU IBRAHIMU MWEMA. Kwa mawasiliano zaidi piga
namba hii ya mama yake 0685379888 ASANTENI
Picha nilizoambatanisha ni Picha za
Mariamu Ibrahimu Mwema siku chache kabla ya upasuaji kwa mara ya kumi.!
TUUNGANE KUSAMBAZA
UJUMBE HUU NA KUMCHANGIA KWA HALI NA MALI KUFANIKISHA SWALA HILI
Kwa mawasiliano Zaidi—
Mama wa Mtoto -0685379888
Mwalimu wa
mtoto huyo Kawe Ukwamani- 0683916283
Au ukihitaji Zaidi
Kuwasiliana na Msambaza Ujumbe huu ni 0712098645
ASANTEN
TUSAIDIANE KUOKOA UHAI WA MTOTO MARIAM.
![]() |
| Mariam Ibrahimu Mwema wa shule ya sekondari Kawe ukwamani akiwa amelala Kitandani,anahitaji msaada wa Watanzania wote kwa sasa. |
KAWAIDA
Habari Ndugu Mtanzania Mzalendo,Kwa majina Naitwa Exaud Mtei,Mwandishi wa Habari nchini Tanzania,kwa Masikitiko makubwa Imebidi niwe Balozi wa Kusambaza Ujumbe huu ambao nimeupata kutoka kwa mwalimu wa shule ya Kawe Ukwamani akinieleza Kuhusu maisha ya mwanafunzi wake wa Kidato cha Nne ambaye anashindwa kundelea na masomo kutokana na Matatizo yanayomkumba-
HUU NI UJUMBE WA MWALIMU HUYO--
HABARI KAKA-Kuna mwanafunzi wangu anaitwa Mariam Ibrahimu Mwema wa shule ya sekondari Kawe ukwamani kidato cha 4 mwenye umri wa miaka 16 tu ana matatizo makubwa ya tumbo. Alifanyiiwa opereshen ya kwanza akiwa darasa la 3. Baadae upasuaj uliendelea takriban mara 9.
Hali yake kiafya imezorota tena baada ya kuimarika katika miezi 2 Iliyopita kufuayia operation aliyofanyiwa pale Muhimbili .Ilikuwa ni operation ya kumi kwa huyu binti mwenye umri chini ya miaka 18
Dogo kwa sasa ni wa kutapika tu, tumbo limevimba tena na kitu kiumizacho zaidi ni kuwa FAMILIA YAKE IPO TAABANI KIUCHUMI KWA SASA...! Anaumwa kiukweli dogo hata kukaa hawez..!
Pleeeeease wadau hebu kila mmoja wetu afikirie nini anachoweza kumfanyia malaika huyu kunusuru kiza kinene cha mustakabali wake kimaisha. Kiukweli wazazi wake wamefikia hatua ya kutokujua hatma ya mtoto wao kipenzi.
Wazazi hawana kitu imebaki ni kumtazama tu, mtoto Analia wazazi wanalia basi ni tafrani Inaumiza sana pale Mariam anapokuambia japo kama ingekuwa inawezekana basi yeye akupatie nafsi yake nawe umpatie yako japo kwa masaa 2 ( dakika 120) japo naye apumzike maumivu kwa muda huo.
Msaada unaohitajika kwa sasa ni Matibabu ya haraka nje ya nchi kwa mujibu wa maelezo ya madaktari. Na kwa msaada wa madaktari wa Tmj, Sanitas na Shree Hindumabdal hospital tulifanikiwa kupata mawasiliano, hospital na daktari ambaye alitupatia gharama za natibabu ya tatizo la mtoto wetu sambamba na gharama nyingine kuwa ni takriban dola elfu nane ( 8000) za marekani.
Please wadau hata kwa kuwashirikisha watu wengine na taasisi mnazozifahamu tumnusuru huyu MALAIKA...! SANAHANI KWA MAKALA NDEFU. NI MIMI MWALIMU MLEZI WA MARIAMU IBRAHIMU MWEMA. Kwa mawasiliano zaidi piga namba hii ya mama yake 0685379888 ASANTENI
Picha nilizoambatanisha ni Picha za Mariamu Ibrahimu Mwema siku chache kabla ya upasuaji kwa mara ya kumi.!
TUUNGANE KUSAMBAZA UJUMBE HUU NA KUMCHANGIA KWA HALI NA MALI KUFANIKISHA SWALA HILI
Kwa mawasiliano Zaidi—
Mama wa Mtoto -0685379888
Mwalimu wa mtoto huyo Kawe Ukwamani- 0683916283
Au ukihitaji Zaidi Kuwasiliana na Msambaza Ujumbe huu ni 0712098645
ASANTEN TUSAIDIANE KUOKOA UHAI WA MTOTO MARIAM.
Mariam Ibrahimu Mwema wa shule ya sekondari Kawe ukwamani akiwa amelala Kitandani,anahitaji msaada wa Watanzania wote kwa sasa.



No comments