Header Ads

ad

Breaking News

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 25, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 15, 2017




Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mussa Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza    kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akizungumza jambo na Mbunge wa Nkasi, Ally Kessy katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017

Naibu Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017

Waziri wa Nishati na Madini, .Profesa Sospeter Muhongo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi akizungumza jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.

Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017


Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Susan Kolimba, Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani wakimskiliza Mbunge wa Makete, Profesa Adamson Sigalla katika kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.

No comments